Mtoto mmoja kipofu usiku mmoja alikuwa akiongozwa na mama yake kuelekea kitandani kulala. Alipofika kitandani kabla ya kuondoka mama yake akasema, "Mwanangu, usiku wa leo na kesho sali sana na utakachoomba kitatokea kweli!" Yule mtoto akajibu, "Sawa mama." Kesho yake asubuhi na mapema yule mtoto akaamka na kupiga kelele, "Mama, bado kipofu, nilichoomba hakijatokea!" Mama yake akajibu, "Nilijua mwanangu, leo ni Siku ya Wajinga!"

No comments:
Post a Comment