CHEKA TARATIBU...

Usiku wa manane jamaa mmoja akiwa amelewa chakari kasimama katikati ya barabara nje ya baa maarufu ya Rose Garden, Mikocheni. Baada ya dakika kadhaa wakatokea askari wa doria na kumuuliza, "Wewe unafanya nini hapo barabarani?" Yule mlevi akajibu, "Nimesikia dunia inazunguka kwa saa 24, hivyo nangojea ifikie nyumbani kwangu." Askari wakabaki hooooooi. Duh kweli ulevi noma!!

No comments: