Saturday, February 18, 2012

ZERO PARKING

Gari la Serikali likiwa limeegeshwa visivyo kando ya barabara ya Morogor eneo la Kisutu mchana huu na hivyo kuleta usumbufu kwa watembea kwa miguu na magari pia. Kama ilivyoandikwa nyuma ya gari hilo, hii nayo ni "ZERO PARKING". (Picha na ziro99blog)
Daladala likiwa limeegeshwa visivyo kwenye kituo cha Usalama, Magomeni Dar es Salaam kama lilivyokutwa na 'wazururaji' wa ziro99blog mchana huu. Kumekuwa na tabia ya madereva wa daladala kuegesha mabasi yao mwanzo wa vituo kwa imani kwamba ndipo watajaza mabasi yao haraka jambo ambalo linahatarisha usalama wa wao, abiria na watumiaji wengine. (Picha na ziro99blog)

No comments: