Abiria wakisubiri usafiri kwenye kituo cha Mwananyamala Komakoma, Dar es Salaam leo asubuhi. Kumekuwa na tatizo la usafiri kwa wakazi wa maeneo ya Mwananyamala kwenda mjini kutokana na tabia iliyozuka hivi karibuni ya daladala kukatisha safari na mengi kati yao kugeuzia Kinondoni kwa Manyanya.
(Picha na ziro99blog).
No comments:
Post a Comment