Tuesday, February 3, 2015

BEI YA MAFUTA YAZIDI KUPOROMOKA


Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka zaidi kwa bei za bidhaa za mafuta hapa nchini kuanzia leo, kutokana na bei katika soko la dunia kuendelea kuporomoka.

KIPINDUPINDU CHAUA WATANO KIGOMA, 170 TAABANI


Mlipuko wa kipindupindu ulioukumba mkoa wa Kigoma, umesababisha vifo vya watu watano, huku wengine zaidi ya 170 wakilazwa hospitalini.

FEDHA ZAKWAMISHA KUKAMILIKA MRADI WA DART


Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) unakabiliwa na changamoto ya kifedha katika ujenzi wa miundombinu,  kutokana na ongezeko la mahitaji ya fedha za kuukamilisha.  

KUPE WAKUBWA WATUMIKA KUKABILIANA NA UKEKETAJI


Wanawake  wa Kimasai wanaopinga suala la tohara kwa watoto wamegundua njia nyingine ya kukabiliana na ukeketaji kwa kutumia kupe wakubwa.

17 CELEBRITIES WHO WERE RAISED BY SINGLE MOTHERS


If you ever hear someone say that children from single-parent homes are at a disadvantage, you can prove them wrong by pointing to these stars — 17 celebrities who were raised by single mothers.

MAJAJI WALIOTAJWA SAKATA LA ESCROW WACHUNGUZWA


Jaji Mkuu, Mohamed Chande Othman amesema Kamati ya Maadili ya Majaji imeanza kushughulikia tuhuma za kinidhamu na kimaadili dhidi ya majaji wawili wa Mahakama Kuu, waliotajwa kupata mgawo katika fedha zilizochukuliwa kutoka akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

ELIMU HOLELA KATIBA MPYA MARUFUKU


Wakati nchi ikijiandaa kwa Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa, asasi za kiraia na kijamii nchini zinazotaka kutoa huduma ya elimu ya uraia na ya mpiga kura kuhusu Katiba Inayopendekezwa, zimetakiwa kuomba vibali vya kufanya hivyo, vinginevyo hazitaruhusiwa kutoa elimu yoyote juu ya katiba hiyo.

WAFANYAKAZI 300 WADHURIKA MGODINI BULYANHULU


Wafanyakazi zaidi ya 300 wa mgodi wa dhababu wa Bulyanhulu wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, wameachishwa kazi baada ya kupata madhara wakiwa kazini huku Bunge likieleza kwamba baadhi wako katika hali mbaya wakisaka msaada juu ya hatua hiyo.

WABUNGE WAMKALIA KOONI WAZIRI NYALANDU AACHIE NGAZI


Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amebanwa bungeni huku baadhi ya wabunge wakimtaka ajiuzulu, kutokana na kile kilichoelezwa amesababisha Shirika la Hifadhi la Taifa  (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kupoteza Sh bilioni mbili kila mwezi.

DEREVA WA OCD MANYONI AJIUA KWA RISASI

Askari aliyekuwa dereva wa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) Manyoni mkoani hapa, Aloyce Alibinus amejiua kwa kujipiga risasi mdomoni na kutokea kisogoni.

HUDUMA YA MAJI YAREJEA DAR


Baada ya wakazi wa Dar es Salaam na Bagamoyo kukaa bila maji takribani siku nane, hatimaye baadhi ya maeneo yameanza kupata maji baada ya matengenezo yaliyokuwa yanafanyika kukamilika.

ITS ANYONE'S GAME AS AFCON 2015 QUARTERS KICKS OFF

After twenty-four matches, the group stages of the 2015 Africa Cup of Nations have come and gone. Equatorial Guinea have proved charitable hosts. Though the stadiums in Ebebiyin and Mongomo have been deemed unfit to host knockout stage matches, the tournament has progressed without any major glitches which is a feat in itself considering the short period of time the Equatoguinean government was handed to prepare its infrastructure.

Sunday, February 1, 2015

RUSHWA YATIMUA KAZI 400 MIZANI, MAGUFULI ASEMA HUO NI MWANZO TU

Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli amevitaka vyombo vya dola kuingilia kati suala la rushwa kwenye vituo vya mizani za kupimia uzito wa magari yanayosafirisha mizigo, akisema rushwa hiyo imekithiri.

WABUNGE WAOMBA WANAUME WAFUNGWE KIZAZI

Wabunge wametaka kuwepo na udhibiti wa ongezeko la watu nchini kwa  kutaka wanaume wadhitibiwe katika uzazi, kama ilivyo kwa wanawake huku wengine wakitaka serikali kuboresha rasilimali bila kudhibiti uzazi.

MAHAKAMA YA KADHI, RIPOTI YA MSOLA KUTIKISA BUNGE

Bunge linaendelea na mkutano wake wa 18, ambao kamati mbalimbali zitaendelea kuwasilisha taarifa kwa ajili ya majadiliano.

WATANZANIA WAHIMIZWA KULA MAYAI YA KWALE

Watanzania wamehimizwa kutumia mayai ya ndege aina ya kwale na nyama yake kwa kuwa ni chakula bora chenye virutubisho mbalimbali.

HOTELI ZAFUNGWA ARUSHA KWA KUKOSA WATALII

Baadhi ya hoteli za kitalii mjini Arusha zimefungwa, huku mishahara ya wafanyakazi ikipunguzwa kwa asilimia 25, kutokana na kukosa watalii.

ATSU BAGS BRACE AS GHANA OUST GUINEA


Goals from Christian Atsu and Kwesi Appiah gave Ghana a 3-0 victory over Guinea, setting up an African Cup of Nations semi-final against Equatorial Guinea.

SWANSEA STUN SOUTHAMPTON AS BERTRAND SEES RED


A late Jonjo Shelvey stunner gave Swansea a dramatic late victory against Southampton as Ryan Bertrand saw red for a challenge on Modou Barrow.

EPL: ARSENAL CLIMB ABOVE SPURS AFTER THRASHING ASTON VILLA 5-0


Arsenal jumped above north London rivals Tottenham Hotspur to fifth in the PL table following a comprehensive 5-0 victory over Aston Villa at The Emirates.

10 MOST BEAUTIFUL AIRPORTS IN THE WORLD


In our modern day where flying is done for pleasure just as much as it’s done for business, airports and airplanes can be found in just about every corner of the world as the demand to reach far off destinations only increases. Through this shift from flying as necessity to flying for fun, designs for airports have shifted from simply practical and functional, to highly unique and culturally reflective in design. For visitors to a country, an airport can play a massively impactful role on the perception of the country as the airport creates that first taste of a nation and countries now know how a great airport can play an important role in tourism. Below is a look at 10 of the most beautiful airports in the world:

17 CELEBRITIES WHO HAD BREAST-REDUCTION SURGERY


When you think plastic surgery, you think about stars tightening things, lifting things, plumping things, and in general, having procedures done that give them more sex appeal. But these celebrities wanted to reel it in a little in the va-va-voom department. Either that or they did it for health reasons. Here are 17 celebrities who had breast-reduction surgery.

HUU NDIO UZEMBE KATIKA DENI LA ATCL, UNAKARIBIANA NA HUJUMA


Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema katika kuangalia deni la Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), inaonesha kuwapo uzembe unaokaribiana na hujuma.

BOKO HARAM LAUNCHES NEW ASSAULT ON KEY NIGERIA CITY MAIDUGURI


Four residents told AFP that Sunday’s fighting began at roughly 3:00 am (0200 GMT) with loud explosions and gunfire, as the militants tried to enter the city from the south.

SERIKALI YAONYWA KUHUSU UCHOKOZI WA JESHI LA POLISI


Wakati Jeshi la Polisi likilaumiwa kutokana na namna lilivyoshughulikia maandamano ya Chama cha Wananchi (CUF) wiki iliyopita, Serikali imetahadharishwa kuwa makini na harakati za kisiasa zinazotumia mbinu za kuchokoza Jeshi la Polisi na kuvunja sheria halali.

EWURA YAAGIZWA KUKOKOTOA UPYA BEI YA MAFUTA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kufanya ukokotoaji upya wa bei ya mafuta ili kumsaidia mlaji wa mwisho wa bidhaa hiyo kunufaika na punguzo la bei ya mafuta duniani.

HIZI NDIZO TAKWIMU ZA WATENDAJI WALIOADHIBIWA SERIKALINI

Wakurugenzi  21 katika Halmashauri mbalimbali nchini wamevuliwa madaraka katika kipindi cha mwaka 2013 hadi 2015 huku 27 wakipewa onyo na sasa kesi zao zikiwa mahakamani kwa tuhuma mbalimbali, ikiwemo matumizi mabaya ya fedha.

MZEE JUMBE ATOA SHUKRANI ZAKE


Rais mstaafu wa Awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Alhaji Mzee Aboud Jumbe (95), ameishukuru Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kumhudumia kwa hali na mali, sambamba na kuendelea kumjulia hali.

WHITNEY HOUSTON’S DAUGHTER FOUND UNRESPONSIVE IN TUB



The daughter of late singer and entertainer Whitney Houston was found unresponsive in a bathtub Saturday and taken to a hospital in the north Atlanta suburbs, police said.

EPL: CHELSEA MAINTAIN LEAD AT TOP AFTER MAN CITY STALEMATE



Chelsea and Manchester City drew 1-1 at Stamford Bridge as the leaders kept their distance at the top.