Sunday, May 17, 2015

YASEMAVYO MAGAZETI YA JUMATATU MEI 18, 2015

BINTI WA MIAKA 9 APAMBANA NA MAMBA KWA DAKIKA 30 MPANDA

Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka tisa ameonesha ujasiri wa kipekee kwa kumwokoa mama yake mzazi, Magreth Ibrahim (50) kuuawa na mamba baada ya kupambana na mnyama huyo kwa zaidi ya nusu saa.

NKURUNZIZA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA MAPINDUZI

Kwa mara ya kwanza tangu kuwapo jaribio la kumpindua Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, kiongozi huyo jana alijitokeza hadharani kuzungumza na waandishi wa habari.

TAKUKURU SASA KUDHIBITI MIAMALA YA SIMU ZA WAGOMBEA MAJIMBONI

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inatarajia kusambaza vijana wa kazi katika majimbo yote nchini, kuwashughulikia wote walioonesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uchaguzi, ambao wanatoa rushwa ili kupata wafuasi.

Thursday, May 14, 2015

BURUNDI SASA HALI TETE, NI MILIO YA RISASI KILA KONA


Hali ya Burundi imezidi kuwa tete huku makundi mawili  hasimu ya wanajeshi, yamekuwa yakipigana, kila moja likitaka kutawala jiji la Bujumbura.

MALI ZA HOSPITALI YA AMI ZAKAMATWA KUFIDIA KODI YA PANGO BILIONI 3


Madalali wa Mahakama Kuu jana waliondoa na kukamata mali za Hospitali ya African Medical Investment Ltd (AMI) maarufu kama Trauma Center ya Msasani Jijini Dar es Salaam, baada ya kushindwa kulipa kodi ya pango kwa zaidi ya miezi 26, inayofikia zaidi ya dola za kimarekani milioni 1.6.

WILL PROPOSED AFRICAN STANDBY MILITARY FORCE MEET 2015 DEADLINE?


African defense ministers met in Victoria Falls, Zimbabwe, to assess the progress of the African standby military force that many hope will end the need for controversial Western military interventions in Africa, according to a SABCNews video.

Saturday, May 9, 2015

YASEMAVYO MAGAZETI YA JUMAPILI MEI 10, 2015

Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya Jumapili, Mei 10, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo kushoto. Kupata yaliyoandikwa kwenye magazeti usikose kuperuzi blogu hii kila siku.

Sunday, May 3, 2015

CHELSEA CLINCH TITLE AS EDEN HAZARD SEALS WIN OVER CRYSTAL PALACE


Chelsea started slowly and it was Crystal Palace who seemed the most intent on attacking in the early stages, but nevertheless Chelsea controlled the ball for most of the first half. The home side still created the most chances, Juan Cuadrado firing over early in the first half.

Friday, May 1, 2015

THE FIGHTERS WHO’VE LOST TO FLOYD MAYWEATHER EXPLAIN WHY HE’S IMPOSSIBLE TO BEAT


Floyd Mayweather Jr. is widely regarded as the best fighter of his generation and one of the best defensive fighters of all time.