Tuesday, April 28, 2015
Sunday, April 26, 2015
Thursday, April 23, 2015
Tuesday, April 21, 2015
Friday, April 17, 2015
Sunday, April 12, 2015
Thursday, April 2, 2015
GWAJIMA KUHOJIWA TENA POLISI WIKI IJAYO
Mahojiano baina ya Jeshi la Polisi na Askofu
Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima yaliyokuwa yanatarajiwa
kuendelea jana, ikiwa ni siku mbili baada ya kuachiwa kwa dhamana na jeshi
hilo, jana yalikwama kuendelea kutokana na kile kilichoelezwa kutoimarika kwa
afya ya askofu huyo, na sasa yatafanyika Alhamisi ijayo.
MWALIMU WA MADRASA ANASWA NA WATOTO 11
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgO2Yzdsk7OTE0f3NLjw5lWN5NodjemELiYuaAoC9yYulw2IrS9uoReeZLNJsWJmFUa5GoFn2xI0iodPrl-S9T-rsSPxTs-jwhMS7OUnw9WeQEQ9GovpbQ2LFonKlsImyyugVcx0SmBwZs/s1600/mwalimu.jpg)
Pia, amekutwa na fomu za usajili zinazoonesha
taarifa muhimu za mwanafunzi hao, zikiwemo jina la mtoto, jina la mzazi, mahali
anakotoka kwa maana ya kijiji na kata pamoja na mawasiliano ya mzazi au mlezi
wa mwanafunzi.
Watoto waliokutwa katika kituo hicho ambao
wanatoka katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Lindi na Mtwara ni Selemani Juma
(12) wa kijiji cha Mandawa, Ruangwa,
Bakari Nang’ani (12) anayetoka pia Ruangwa, Jamal Abbas (12) na Mwajuma
Selemani (12) wanaotoka Mwena, Masasi, Karim Abbas (17) mkazi wa Liwale mkoani
Lindi.
Subscribe to:
Posts (Atom)