Saturday, February 28, 2015

SIMBA YAWARARUA MAAFANDE WA PRISONS 5-0


Timu ya Simba leo jioni ilitoa kipigo kikali kwa Prisons ya Mbeya kwa kuibugiza mabao 5-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliopigwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

SAIDO BERAHINO STUNNER GIVES WEST BROM 1-0 WIN OVER LETHARGIC SOUTHAMPTON


West Brom moved eight points clear of the relegation zone thanks to Saido Berahino’s outstanding volley in the opening moments of their 1-0 win over Southampton.

EL MERREIKH YAIFUNGASHA VIRAGO AZAM, KMKM NAYO NJE


Safari ya timu ya soka ya Azam FC kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika imefikia kikomo baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-0 mbele ya vijana wa El Merreikh ya Sudan katika mechi iliyomalizika muda mfupi uliopita mjini Khartoum.

WAYNE ROONEY BRACE DOWNS SUNDERLAND


Wayne Rooney grabbed a brace to help Manchester United bag all three points at Old Trafford but there was controversy in the second half as referee Roger East sent off Wes Brown incorrectly.

LUIS SUAREZ STARS AS BARCELONA CLOSE GAP ON REAL MADRID

Luis Suarez capped a fine week with another goal as Barcelona moved to within a point of Real Madrid with a 3-1 victory at Granada in La Liga.

BREAKING NEWS!!! KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia muda mfupi uliopita zinasema kwamba Mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), Kapteni mstaafu John Damian Komba amefariki dunia.

12 THINGS YOU DIDN’T KNOW ABOUT DOCTORS WITHOUT BORDERS IN AFRICA


As our hearts go out to Paris and France, recently attacked by anti-Semitic hijackers of Islam and the world, it’s comforting to honor a French-born organization that helps heal the world.
During the Parisian strikes and protests of May 1968, a group of young doctors decided to go and help victims of wars and major disasters.

CELEBRITIES WITHOUT MAKEUP


KATE MOSS:
Many celebrities look gorgeous on the red carpet, but it is important to not forget that they have multiple makeup artists at their disposal to give them a quick touch up at a moments notice. They get glammed up for award shows and movie premiers, but in their downtime, celebrities ranging from Kim Kardashian to Pamela Anderson prefer to let their natural beauty take center stage.

YANGA YASONGA MBELE KOMBE LA SHIRIKISHO, AZAM KIBARUANI LEO


Yanga imeingia raundi ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kufungwa mabao 2-1 na BDF XI ya Botswana katika mechi ya marudiano ya raundi ya awali usiku wa kuamkia leo mjini Gaborone.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI

Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumamosi Februari 28, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo kushoto. Kupata yaliyoandikwa kwenye magazeti usikose kuperuzi blogu hii kila siku.
 

HATIMA YA WANAOSAKA URAIS WA CCM LEO

Kamati Kuu ya CCM (CC) iliyosubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye inakutana leo na suala kubwa linalotarajiwa na wanachama na wananchi, ni tathmini ya hukumu ya vigogo sita wa chama, waliokuwa wakitumikia adhabu baada ya kubainika kuanza kampeni za urais mapema.

KIVUKO CHA DAR-BAGAMOYO KUTUMIA MASAA MAWILI TU KWA SAFARI

Kivuko cha Mv Dar es Salaam, kinachotarajiwa kutoa huduma ya usafirishaji wa abiria kutoka Dar es Salaam kwenda Bagamoyo, jana kilifanyiwa majaribio ya safari ambapo kilitumia saa tatu, huku ikielezwa kwamba kitakapoanza kutoa huduma kitatumia saa mbili kwa safari moja.

KOBE 250 WAKAMATWA UWANJA WA NDEGE ZANZIBAR


Kobe wadogo 250, wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakiwa njiani kusafirishwa kwa njia ya magendo kwenda Malaysia.

NDEGEVITA YA JWTZ YAANGUKA NA KUTEKETEA MWANZA


Ndegevita ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),  iliyokuwa katika mazoezi, imeanguka na kuteketea moto huku rubani wake akiumia wakati akijiokoa katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza.

AKANA KUBAKA NA KUMPA MIMBA MWANAFUNZI


Mkazi wa Tabata, Erasto Clement (22) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala na kukana mashitaka ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu mwenye umri wa miaka 16.

Friday, February 27, 2015

WHO LEAKED SOUTH AFRICA’S #SPYCABLES?


The source of the leak to the Qatar-owned Al Jazeera TV company and to Britain’s Guardian has not been publicly revealed but must be someone with access to the files of South Africa’s intelligence service and the foreign documents that were shared with it.

KESI YA KUMDHURU MFANYAKAZI WA NDANI YAPIGWA KALENDA


Kesi ya kumdhuru mfanyakazi wa ndani inayomkabili raia wa Ufaransa, Folkertsma Laurent (41), imeahirishwa hadi Machi 31, mwaka huu kutokana na shahidi kutofika mahakamani.

HUU NDIO UTETEZI WA TIBAIJUKA NA CHENGE BARAZA LA MAADILI YA VIONGOZI


Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, limemsomea rasmi mashitaka aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, na kubainisha kuwa kiongozi huyo anastahili kujibu mashitaka kwa kosa la kuomba na kujipatia fedha kinyume na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

PATO LA TAIFA SASA LAFIKIA TRILIONI 21


Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetangaza pato la taifa ambalo linaonesha kuwa thamani ya pato hilo katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka huu imefikia Sh trilioni 21.2.

AFUNGWA MAISHA JELA KWA KUNAJISI MTOTO WA MIAKA MINNE


Mkazi wa kijiji cha Makutupa kata ya Lupeta wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Yusuph Chatambala (45) amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada ya kukiri kumnajisi mtoto mwenye umri wa miaka minne.

CELEBRITIES WITHOUT MAKEUP


PENELOPE CRUZ:
Many celebrities look gorgeous on the red carpet, but it is important to not forget that they have multiple makeup artists at their disposal to give them a quick touch up at a moments notice. They get glammed up for award shows and movie premiers, but in their downtime, celebrities ranging from Kim Kardashian to Pamela Anderson prefer to let their natural beauty take center stage.

15 THINGS YOU DIDN’T KNOW ABOUT POPE FRANCIS


He is one of the most popular and controversial popes in history, often breaking with conservative Catholic church traditions in his words and actions. Here are 15 things you didn’t know about Pope Francis.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO IJUMAA

Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Ijumaa Februari 27, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo kushoto. Kupata yaliyoandikwa kwenye magazeti usikose kuperuzi blogu hii kila siku.

Thursday, February 26, 2015

CHAMPIONS LEAGUE: HAKAN CALHANOGLU GIVES BAYER LEVERKUSEN UPPER HAND AGAINST ATLETICO MADRID



Bayer Leverkusen took the upper hand in their last-16 tie against Atletico Madrid, a single second half goal giving them a 1-0 advantage ahead of the second leg in Madrid next week.

CELEBRITIES WITHOUT MAKEUP



MADONNA:
Many celebrities look gorgeous on the red carpet, but it is important to not forget that they have multiple makeup artists at their disposal to give them a quick touch up at a moments notice. They get glammed up for award shows and movie premiers, but in their downtime, celebrities ranging from Kim Kardashian to Pamela Anderson prefer to let their natural beauty take center stage.

CHAMPIONS LEAGUE: DISMAL ARSENAL FLOUNDER AGAINST MONACO



A dismal display from Arsenal, capped off with a goal from old foe Dimitar Berbatov, means they have it all to do against Monaco in the return leg.

Wednesday, February 25, 2015

CELEBRITIES WITHOUT MAKEUP


KATE HUDSON:
Many celebrities look gorgeous on the red carpet, but it is important to not forget that they have multiple makeup artists at their disposal to give them a quick touch up at a moments notice. They get glammed up for award shows and movie premiers, but in their downtime, celebrities ranging from Kim Kardashian to Pamela Anderson prefer to let their natural beauty take center stage.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMATANO

Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumatano Februari 25, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo kushoto. Kupata yaliyoandikwa kwenye magazeti usikose kuperuzi blogu hii kila siku.

Tuesday, February 24, 2015

12 TIMES PEOPLE SURVIVED WILD ANIMAL ATTACKS IN AFRICA


Safaris make up a large part of African tourism, with Kruger National Park alone getting more than 1.5 million visitors per year. A safari can cost around $800 to $1,000 per night, per person. If that seems expensive, it is! Fees usually include a trained guide, but even the most knowledgeable game rangers can’t always protect tourists from angry wild animals. Here are 12 times people escaped wild animal attacks in Africa.