MWANDISHI WA HABARI AUAWA MAPAMBANO YA CHADEMA NA POLISI...


                           BREAKING NEWS!!                              
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa, Mwandishi wa Habari, Daudi Mwangosi (pichani) wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten amefariki dunia katika ghasia zilizozuka kati ya wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na polisi katika mkutano wa chama hicho mkoani Iringa jioni hii. Pia askari polisi mmoja wa Wilaya ya Igowole anasemekana yuko mahututi kutokana na kipigo. Taarifa kamili kuhusiana na tukio hili zitawajia baadaye.

1 comment:

Anonymous said...



Look аt my web-sіte ... Tantric Massage
Here is my web page - tantra