Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kwa waandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuhusu zao la zabibu wakati waandishi hao walipotembelea shamba lake lililopo eneo la Zuzu, mkoani Dodoma.

No comments: