Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Tabora, ACP Suzan Kaganda akionesha kwa waandishi wa habari sehemu ya risasi na magwanda ya Jeshi yaliyokamatwa na polisi mkoani humo jana. Vitu vilivyokamatwa ni pamoja na risasi 307 za bunduki aina ya SMG, tatu za Shortgun na bunduki ya aina hiyo, tano za rifle na bunduki yake.

No comments: