Wakazi wa kijiji cha Chipanga, wilayani Bahi, mkoa wa Dodoma wakibeba vitanda vya msaada vilivyotolewa na Vodacom Foundation kwa ajili ya wodi ya akinamama. Msaada huo uligharimu jumla ya Shilingi milioni 10.

No comments: