Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Liberata Mulamula (wa pili kutoka kulia) akiwa pamoja na Ofisa Ubalozi Kitengo cha Utalii, Immaculata Diyamett wakifuatilia maelezo wakati wa maonesho ya picha huko Silver Spring, Maryland katika ukumbi wa WPG uliopo 8230 Georgia Ave.

No comments: