Waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari, ndugu, jamaa na marafiki wakibeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa mpigapicha wa kituo cha televisheni cha Mlimani Maxmillian John Ngube wakati wa ibada ya kuaga mwili wake iliyofanyika katika Viwanja vya Leaders, Dar es Salaam jioni ya leo.

No comments: