Mwandishi wa Habarileo mkoa wa Iringa, Frank Leonard (kulia) pamoja na Mhariri wa gezeti hilo, Joseph Lugendo wakiwa wameshikilia mfano wa cheki ya Shilingi milioni 1.5 iliyotolewa kwa Leonard baada ya kuibuka mshindi wa pili wa habari za utalii wa ndani 2013 kwenye tuzo zilizotolewa na TANAPA wakati wa hafla iliyofanyika jijini Mwanza jana.

No comments: