Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Magole, iliyopo wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro, na wageni  wakiwasubiri walimu katika  kibanda kilichochaka ambacho kinatumiwa sehemu ya Ofisi  kutokana na ukosefu chumba cha ziada, kama walivyokutwa juzi , Wanafunzi wa shule hiyo wamehamishiwa kwa muda  kusomea katika majengo ya shule ya sekondari Magole, baada ya shule yao kuathiriwa na mafuriko ya mvua Januari mwaka huu.

No comments: