Magari  yaliyopo upande wa kushoto mwa barabara ya Rose Garden  kuelekea barabara ya Bagamoyo Jijini Dar es Salaam yakifanya mchepuko wa kukwepa foreni na kuharibu mfumo uliopo katika kufuata njia kuu.

No comments: