Naibu Waziri wa fedha Adam Malima (katikati) akizungumza na waandishi wanachama wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) wakati wa Mafunzo ya Kodi kwa wanachama  hao  yaliyofanyika  Chuo  cha Kodi  Jijini  Dar es Salaam juzi.Kushoto Mkurugenzi  wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi,Richard Kayombo na Mkurugenzi wa Fedha, Sarehe Mshoro.

No comments: