Naibu Waziri Tamisemi Elimu, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa akibidhi pikipiki aina ya bajaji kwa walemavu zilizotolewa na Rais Jakaya Kikwete, wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika Kata ya Mandawa wilayani Ruangwa, mkoa wa Lindi jana.

No comments: