Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Zanzibar, Machano Othman Said ambaye aliwaalika wageni kutoka Makumbusho ya Utamaduni, Malindi Kenya kutembelea Zanzibar, akitoa utambulisho kwa wageni hao baada ya kuwasili Ofisi za Sauti za Busara zilizoko Maisara mjini Unguja.

No comments: