Mshambuliaji wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Mbwana Samatta akimtoka beki wa timu ya Zimbabwe wakati wa mechi ya kwanza ya mchujo kuwania hatua ya makundi ya tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2015, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Stars ilishinda bao 1-0 lililofungwa na John Bocco.

No comments: