Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakipitita kutoa heshima za mwisho mbele ya jeneza la mwenzao, aliyekuwa mwanasheria wa wizara hiyo, Luke Seyayi, katika Kanisa la AIC Magomeni, jijini Dar es Salaam jana.

No comments: