Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata chakula kwenye banda la mamalishe pamoja na msafara wake kwenye eneo la Stendi Mpya, mjini Tabora jana. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage na Mbunge wa Viti Maalum (Tabora), Munde Tambwe.

No comments: