Kaimu Mkurugenzi wa Biashara wa Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL), Juma Boma (kulia) akishuka kutoka katika ndege ya shirika hilo aina ya Bombardier Dash-8 akifuatiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (wa pili kushoto) wakati wa uzinduzi wa safari za ndege hiyo kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar kupitia Arusha.

No comments: