Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samweli Sitta akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, oyce Mapunjo, mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2014/2015.

No comments: