Mwenyekiti wa Umoja wa Wafugaji Nyuki wa Kijiji cha Kisumba, Enock Nguvumali akishika Mwenge wa Uhuru juzi. Mapema Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Rachel Kassanda alizindua mradi wa kutundika mizinga ya kisasa ya nyuki katika kijiji hicho.

No comments: