Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha National People's Congress cha China na Naibu Spika, Chen Changzhi mara baada ya kumkaribisha tayari kwa kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano.

No comments: