Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim (kushoto) akimkaribisha Waziri mkuu wa Rwanda, Pierre Habumuremyi, mara baada ya kuwasili nchini kwenye Uwanja wa Ndege ya Julius Nyerere jana, tayari kwa kuhudhuria Sherehe za Miaka 50 ya Muungano.

No comments: