CHEKA TARATIBU...

Mwanafunzi mmoja mtukutu kakutana na mwalimu wake na mambo yakawa hivi. Mwalimu: "Wewe kwanini kila siku unachelewa kufika shuleni?" Mwanafunzi: "Nakaa mbali sana". Mwalimu: "Mbali mbinguni?" Mwanafunzi: "Mbinguni kwa mbele kidogo!" Kasheshe...

No comments: