CHEKA TARATIBU...

Jamaa baada ya maongezi akaamua kuchukua simu ya mpenzi wake na kuanza kutafuta jina lake bila mafanikio. Mwishowe akapata wazo la kujaribu kubipu simu ya mpenzi wake. Toba! Likatokea jina SHABANI MUUZA SAMAKI! Kasheshe...Je, wewe umeshacheki kakusevu vipi?

No comments: