CHEKA TARATIBU...

Baada ya msako mkali polisi wakamkamata jamaa mmoja bila kujua kama ni chizi. Walipomfikisha kituoni jamaa akaanza kucheka sana mpaka machozi yanamtoka baada ya kuona picha za Mwalimu Nyerere na Rais Kikwete ukutani. Ikabidi polisi waingilie kati na kumuuliza kulikoni? Jamaa huku akifuta machozi akajibu, "Hakika msako wa leo kiboko, yani hadi Kikwete na Nyerere nao wamo!" Balaa...

No comments: