HAKIKA TUMETOKA MBALI...

Abiria waliokuwa wakisafiri kwa usafiri maarufu wakati huo wa mabasi ya Kampuni Tanganyika Bus Service aina ya Leyland lililokuwa likifanya safari zake kati ya Mwanza na Arusha wakiwa nje ya basi hilo lililoacha njia na kutumbukia kwenye mto miaka ya 1960.

No comments: