CHEKA TARATIBU...

Mlokole kaingia kwenye ukumbi inakofanyika harusi ya maeneo ya Sinza na kuanza kumbwatukia Dj, "We mpagani hebu tutolee hizo nyimbo zako za kishetani utuwekee nyimbo za Yesu!" Ghafla Dj akazima muziki na kumjibu, "Acha ujinga wewe, huyo Yesu kwanza bado hajatoa albamu!" Kasheshe...

No comments: