ELIMU YA BONGO LAZIMA UGANGAMALE...

Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya Alfa Morogoro, Jesca Kiliani (17) akifanya mtihani wake wa Taifa chini ya usimamizi mkali akiwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro juzi. Binti huyo alilazimika kufanyia mtihani akiwa kitandani baada ya kulazwa katika wodi namba 7B kutokana na kufanyiwa operesheni ya uvimbe ambapo hivi sasa anaendelea na matibabu hospitalini hapo.

No comments: