CHEKA TARATIBU...

Kipofu mmoja kaingia dukani akiwa kaongozana na mbwa wake anayeona. Mara, akashika mkanda na kuanza kumshikashika mbwa wake kichwani. Muuzaji akamfuata yule kipofu na kumuuliza, "Unafanya nini hapo?" Kipofu akajibu, "Natazama vitu vya kununua!" Duh...

No comments: