CHEKA TARATIBU...

Muuza duka mmoja kamfokea mteja wake, "Haturuhusu kuvuta sigara hapa." Mteja akajibu kwa kujiamini, "Lakini si nimenunua hapa kwako!" Muuza duka akajibu kwa ukali, "Ebo! Sasa ningekuwa nimekuuzia bomu ungelilipua hapa hapa?" Kasheshe...

No comments: