Kichaa mmoja kaenda kwa Daktari na mahojiano yakawa kama hivi. KICHAA: Dokta kila nikilala huwa naota manyani yanacheza soka. DAKTARI: Usijali, tatizo dogo hilo. Leo nitakupa dawa na hautaota tena. KICHAA: Duh, bora unipe kesho maana leo ndio fainali yenyewe!
No comments:
Post a Comment