ZANTEL YAKABIDHI TUZO KWA WASANII BORA WA MUZIKI ZANZIBAR...


Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal  akimkabidhi Tuzo ya Heshima kwa msanii mkongwe wa muziki wa Taarab, Mwanacha Hassan Kijole (65) wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za washindi wa Tuzo za Wasanii Bora wa Muziki wa Zanzibar wa mwaka 2012, zilizodhaminiwa na kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel. Hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Bwawani, mjini Zanzibar juzi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Zantel - Zanzibar, Mohamed Baucha.

No comments: