NMB WARAHISISHA UCHUKUAJI FEDHA MAONESHO YA SABASABA...


Baadhi ya wananchi wakisubiri huduma ya kuchukua fedha kutoka kwenye mashine ya ATM kwenye banda la Benki ya NMB jana katika Maonesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa yanayofikia kilele chake leo Viwanja vya Mwalimu J.K Nyerere.

No comments: