BANDA LA NHC LAVUTIA WENGI MAONESHO YA SABASABA...

Maelfu ya wananchi waliofika kwenye viwanja vya Maonesho ya Sabasaba Dar es Salaam jana walishindwa kujizuia kuingia kwenye Banda la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ambapo pamoja na mengi walitaka kufahamu utaratibu wa utakaowawezesha kumiliki nyumba zinazouzwa na shirika hilo. Big Up NHC...

No comments: