KUPATA ELIMU BONGO LAZIMA UGANGAMALE...


Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Iragua, iliyopo katika Tarafa ya Lupiro, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, wakibeba  dawati ili kwenda kukalia darasani  kama walivyokutwa hivi karibuni shuleni hapo. Shule nyingi hasa za vijijini zinakabiliwa na uhaba wa madawati na hivyo wengi wa wanafunzi hao kulazimika kukaa chini kwenye vumbi.

No comments: