MATRELA YA CIMC KUTOKA GF TRUCKS YAVUTIA WENGI SABASABA...


Ofisa Masoko wa Kampuni ya GF Trucks, Fatuma Is-Haqa (kulia) akielezea ubora wa malori ya FAW na Trela za CIMC zilizozinduliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kubebea mizigo mikubwa kwa wateja waliofika katika banda lao wakati wa Maonyesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam "Sabasaba".

No comments: