EPIC BONGO STAR SEARCH NDANI YA ARUSHA...

Majaji wa shindano la kusaka vipaji la Epic Bongo Star Search (EBSS) wakifuatilia kwa makini mmoja wa wasanii waliojitokeza kuimba (hayupo pichani) Arusha wikiendi hii. Kutoka kushoto ni Joachim Kimaro ‘Master J’, Ritha Paulsen na Salama Jabir 'Salama J'. 
Vijana mbalimbali wa kike na kiume wakiwa wamejipanga mstari tayari kwa usaili wa Epic Bongo Star Search uliofanyika mjini Arusha wikiendi hii.

No comments: