VODACOM M-PESA NDANI YA VIWANJA VYA SABASABA...


Wakala wa Vodacom M-PESA akitoa huduma kwa mteja aliyetembelea katika Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba, Dar es Salaam leo. Kampuni ya Vodacom inashiriki katika maonesho hayo kama Mdhamini Rasmi wa Mawasiliano.

No comments: