GWIJI ANDY GRIFFITH AFARIKI DUNIA...


Gwiji katika televisheni, Andy Griffith amefariki dunia, kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa rafiki wa marehemu, Bill Friday.
Griffith, amabye alijizolea umaarufu kutokana na kipindi chake cha "The Andy Griffith Show," amefariki nyumbani kwake huko Manteo mjini North Carolina leo asubuhi.
There's a famous statue of Andy and Opie -- played by Ron Howard -- in Raleigh, North Carolina.
Griffith alitunukiwa Medali ya Rais ya Uhuru mwaka 2005 na Rais George W. Bush.

No comments: