HUDUMA YA TIKETI ZA MABASI SASA HADI MTAANI KWAKO...


Meneja Masoko wa Kampuni ya Selcom, Juma Mgora akiwaonyesha waandishi wa habari moja ya simu ya kutolea huduma ya kukata tiketi ya mabasi yaendayo mikoani na nchi za jirani kupitia huduma ya Selcom PayPoint. Huduma hiyo ambayo itapatikana katika maduka na sehemu mbalimbali nchini pia itawawezesha wananchi kununua tiketi kupitia mtandao wa Kampuni ya Simu za Mikononi ya Vodacom.

No comments: