UCHUNGU WA MUME AUJUAYE MKE...


Waombolezaji wakimsaidia mfanyakazi wa kampuni ya magazeti ya Serikali ya Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN), Agnes Lyimo kuuaga mwili wa mume wake marehemu Leonard Shirima wakati wa Ibada ya kuuaga mwili wake nyumbani kwake, Kigogo Mburahati Dar es Salaam leo.

No comments: