MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO...


Baadhi ya wanafunzi ya shule ya Msingi Mvomero, katika Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro wakifanya usafi kwenye maeneo ya shule kabla ya kuanza kwa masomo asubuhi kama walivyokuwa shuleni hapo.

No comments: