RAIS KIKWETE NA MKEWE WAKUMBUKIA 'USWAZI' SABASABA...


Rais Jakaya Kikwete akicheza bao na Mkewe, Salma kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa, viwanja vya Mwalimu J.K Nyerere Dar es Salaam leo. Katikati ni Mwenyekiti wa Shirikisho la Bao nchini, Monday Likwepa. 

No comments: