RAIS KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA PPF SABASABA...


Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini  wa  PPF Pensions Fund, Sabina Gelleja baada ya kutembelea banda la mfuko huo katika Maonesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa, Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio na kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda.

No comments: